Nahitaji laptop, nina sh. laki nne

tata mvoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
534
Reaction score
81
habari wakuuu naomba mwenye laptop aniuzie kwa bei ya laki 4. Nahitaji brand zifuatazo dell,hp,compaq,hp au toshiba. Iwe na sifa hizi processor walau 1.8 ghz dual core or higher, 2gb ram or higher, hard disk 320gb or higher,battery life walau masaa matatu.
namba yangu 0786404808 au ni-pm
 
Hata heading inabidi ibadilike..mi nlijua uza Kiwanja laki nne
 
Unadhani utawezaje kuvuta intention ya watu? Mie shida yangu ni laptop hayo mengne mbwembwe
 

Labda mbovu.
 
Invisible huyu hekimatele anaflud sana kwnye thread za matangazo na kuharibu mpangilio wa matangazo mapya na ya zamani, nadhani anahitaji onyo.

cc Paw Buchanan

sema usikike. Ongea lugha zinazoeleweka.
Si wengine wafanyabiashara mkuu. Hatuna wito na thread za mapenzi wala siasa. Huku kwenye matangazo ndo tunapokuja kufanya ya maana. Kule kwingine ni kelele tu. Kosa liko wapi?
 
Jamani ninmepata computer tena mpyaaa na kwa bei rahisi kabisa.JAMII FORUMS IDUMU
 
Wanajamvi nina samsung laptop mpya,ram 4gb,hdd 750gb,processor 2.5,ina warranty card nimeinunua kama siku tatu zilizopita.Ina rangi ya silver.Naiuza coz nimepata matatizo nyumbani nitanunua next semester.Bei 640,000/=Nitafute hapa
 
Mkuu tata mvoni nani aliekuuzia nami natafuta.
 
Last edited by a moderator:
nanikakwambia laptop inauzwa laki nne...kama inauzwa laki nne nenda kanunue dukani...au unatakazile za wizi(za dili)?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…