tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
- Thread starter
- #21
july mpaka sasa una mniezi mi3 jf ha ha haaa ndo maana hata akili yako ni matope kwani mie nimnekwambia nataka ya wizi? afu kwa taarifa yako nimepata laptop nzuuuuri chini ya hiyo laki 4 kuna watu wana shida so wanauza vitu vyao kutatua matatizo waliyo nayo KALAGHA BAHO NA UBOZIBOZI WAKO
nanikakwambia laptop inauzwa laki nne...kama inauzwa laki nne nenda kanunue dukani...au unatakazile za wizi(za dili)?