Nahitaji laki kwa laki na 30 (Siku 10)

Nahitaji laki kwa laki na 30 (Siku 10)

Naomba uni pm na mm kua utaweka nn bondi,tafadhali kwa hlo
 
Riba Riba Riba , acheni ayo mambo, njoo uchukue laki urudishe laki, we una matatizo haipaswi uongezewe tena matatizo
 
Hiyo ni riba wakuu,kula au kutoa riba ni jambo lenye kuangamiza.Tusikaribie hili jambo wakuu
 
Back
Top Bottom