Rejea kichwa cha habari hapo juuu nahitaji laini ya uwakala wa mpesa iliyofit kalikiti kwenye matumizi nipo Dar ubungo plz fanya fasta fasta tupige buzness 0712046405
Hizi line siuzi kwa njaa kaka ata mm naziuza ila ntazitafuta tena nikitaka kuendelea tena na biashara so ata zikibakia Hamna tatizo na siwezi kuuza kwa hasara.