Nahitaji laboratory technician aliyeko katavi

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,348
651
Habari nahitaji mtaalamu wa maabara aliyeko katavi kwaaji ya kuhudumia maabara ya magonjwa ya binadamu level c,kigezo awe na diploma ya maabara
 
Anataka wa Katavi ili akamlipe kidogo kwa kuwa ni home, wa Dar Gharama atadai pesa nyingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom