Nahitaji kware wakubwa madume na majike

Nahitaji kware wakubwa madume na majike

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,827
Reaction score
16,908
kama unayo tupia namba hapa fasta na bei zake
pia kama una vifaranga sema shingapi

SITAKI MAYAI NATAKA KWARE
 
kama unayo tupia namba hapa fasta na bei zake
pia kama una vifaranga sema shingapi

SITAKI MAYAI NATAKA KWARE

Mimi ninayo, zingatia location ya supplier, where are based? I have 12
 
Ndiyo vi nini hvi weken basi picha pengne ninavyo ila sivijui
 
Huyo hapo
 
Attachments

  • 1430668662278.jpg
    1430668662278.jpg
    35.9 KB · Views: 372
Khaa!! Masai na kware wapi na wapi? Hata hivyo nakupa bigup kwa kuiona fursa. Ni kama upepo hivi mara mafuta ya ubuyu sasa hivi mayai ya kware. Sijajua madhara yatakayo na ndege hao wa porini kwa ndege wa kufuga. :glasses-nerdy:
 
Haya madude yanashtushaga mtu vibaya kama limejificha mahali linakurupuka! kuna siku nilisha wahi kudaka limoja nikaliweka ndani siku mbili likafa lenyewe!

Hahaha! Jambazi utaogopaje? Ni kweli, ni ndege wa asili ya porini ila kwa sasa ndio habari ya mjini, kuanzia nyama yake mpaka mayai. Ukiwa nao hao ni dili sana na wanapendwa kwa sababu hawana gharama kubwa ya utunzaji na hawaugui ovyo.
 
Khaa!! Hivi kware hawakuwepo tokea zamani? Tofauti yake na kuku nini? Serikali imekaa kimya tu wanatafuna kodi zetu huku hizi habari zikizagaa kwenye mitandao bila kututhibitishia. Isije kuwa kama kikombe kile tu:glasses-nerdy:
 
Khaa!! Hivi kware hawakuwepo tokea zamani? Tofauti yake na kuku nini? Serikali imekaa kimya tu wanatafuna kodi zetu huku hizi habari zikizagaa kwenye mitandao bila kututhibitishia. Isije kubwa kama kikombe tu:glasses-nerdy:

Ni ndege wa porini, ukienda morogoro, singida, dodoma, iringa na mikoa karibu yote mpaka sasa wapo maporini ila kufugwa ndio jambo geni ingawa kwa nchi kama Uchina na Japan walianza zamani wakiwatumia kwa matibabu.
 
Tofauti ya viini lishe kati ya kware na kuku ni nini?
 
Khaa!!Wabongo bana kupima afya zao wajijue hawataki. Ila ukiwaambia hii ni dawa inaibu ugonjwa fulani ajabu yao wanaitumia :alien:

Inatisha aisee, Tunafanya fujo sana ila katika kutambua hali zetu inakuwa kazi, tunatafuta njia za kuliondoa tatizo tukiamini litapotea lenyewe.
 
Khaa!! Masai na kware wapi na wapi? Hata hivyo nakupa bigup kwa kuiona fursa. Ni kama upepo hivi mara mafuta ya ubuyu sasa hivi mayai ya kware. Sijajua madhara yatakayo na ndege hao wa porini kwa ndege wa kufuga. :glasses-nerdy:

unaambiwa mayai yake yanaongeza cd4
 
Haya madude yanashtushaga mtu vibaya kama limejificha mahali linakurupuka! kuna siku nilisha wahi kudaka limoja nikaliweka ndani siku mbili likafa lenyewe!

hahaha jambazi wewe

KWARE WA PORINI UKIWALETA NDANI WANAJINYONGINATAKIWA UCHUKUE MAYAI UYATAAMISHE
 
Back
Top Bottom