Nahitaji kutumia iPhone kama modem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kutumia iPhone kama modem

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kitabu, Aug 11, 2011.

1. Kitabu

Kitabu JF-Expert Member

#1
Aug 11, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 257
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
Wakuu Nina iPhone,8GB,je naweza kuitumia kwenye laptop kuniweka hewani kama vile modem?????msaada tafadhali!!!!!

2. Brakelyn

Brakelyn JF-Expert Member

#2
Aug 11, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,236
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
How to use Iphone as Modem

On your Iphone, do the following;
• 1Click the "Settings" icon on your iPhone's menu. The "Settings" menu on the iPhone is located on the page where you placed it; most people place it on the first page of the menu. The icon is gray in color and has cogs as the design.

• 2Click the "General" category, which brings you to a screen that contains several subcategories. The "General" category is located toward the bottom of the screen and is marked by the same icon as the "Settings" menu that you clicked earlier. After clicking "General," click the "Network" subcategory.

• 3Click "Internet Tethering," and slide the option from "Off" to "On." The gray "Off" icon should turn into a blue "On" icon. This option allows you to activate your iPhone as a modem, which you can then connect to your laptop.

• 4Connect your iPhone to your computer using the cable. A pop-up window will appear asking you to approve the connection. Choose "iPhone," and then click "Apply." Your computer is now connected to the Internet. Keep the USB connection intact to maintain your Internet connection. Turning your phone off may disconnect your computer to the Internet, so make sure it stays on.

• 5Launch your web browser to access the Internet. Check your connectivity on the right side of the desktop toolbar if you're using a Windows computer, or the signal icon on the upper-right side if you're using a Mac. If your connectivity is strong, you can continue using the Internet.  au kama unatumia Jailbroken Iphone unaweza kuInstal tweak moja Inaita MyWi 4.0, itaiwezesha Iphone yako kurusha wireless internet kama router 'WiFi Tethering' na utaweza kutumia hiyo connection kwa zaidi ya computer moja / clients wengi. pia kuFanya Bluetooth Tethering na USB Tethering..

[​IMG]

3. Osaba

Osaba JF-Expert Member

#3
Aug 11, 2011
Joined: Apr 10, 2011
Messages: 1,721
Likes Received: 119
Trophy Points: 160
Mkuu hii ni kwa simu zilizojailbreaking lakini kwa simu zilizounlock kutoka kiwandani hamna options kama hiyo

4. Kitabu

Kitabu JF-Expert Member

#4
Aug 11, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 257
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
Mkuu nimefuata maelekezo yako,baada ya kufungua eneo la network nimekuta Maneno yafuatayo( Enable 3G,cellular data network,Data Roaming,VPN na Wi-Fi)nifanye nini baada ya hapo???nashukuru Kwa ushirikiano wako.

5. Kitabu

Kitabu JF-Expert Member

#5
Aug 11, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 257
Likes Received: 5
Trophy Points: 35

Tafadhali Mkuu,naomba ufafanuzi wa hizo tofauti ulizotaja,mana umeniacha kidogo...!!!tehe tehe tehe....!!!!

6. Brakelyn

Brakelyn JF-Expert Member

#6
Aug 11, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,236
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
mkuu achana na hayo maelekezo nliyokuandikia mwanzoni, fuata haya yafuatayo kama unatumia Iphone 3G/3GS/4...

fungua Settings-Personal Hotspot then weka iwe ON.. nimehakikisha na mimi sasahivi na nimefanikiwa kama kwenye picha hizi ,,

[​IMG]

[​IMG]

7. Brakelyn

Brakelyn JF-Expert Member

#7
Aug 12, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,236
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
Osaba Factory unlock haipunguzi features/options kwenye simu, inafanya permanent carrier unlock tu sio kwamba na baadhi ya features zinaondoka,,na ndio maana nikamuelekeza Mjema kama anatumia jailbroken firmware aweke MyWi 4.0 ...

8. BinMgen

BinMgen JF-Expert Member

#8
Aug 12, 2011
Joined: Jun 18, 2008
Messages: 1,816
Likes Received: 28
Trophy Points: 145
hebu nisaidieni wakuu, nolipokuwa na iOS 4.1 kwenye iPhone 3G jailbreaked hiki kipengele cha internet tethering kilokuwepo
baada ya ku-update kwenda iOS 4.2 kimepotea je nawezaje kirudisha hicho kipengele?.

9. Brakelyn

Brakelyn JF-Expert Member

#9
Aug 12, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,236
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
ukiIjailbreak hiyo 4.2 nadhani kitarudi...

10. Kitabu

Kitabu JF-Expert Member

#10
Aug 12, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 257
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
Mkuu nimeenda tena nimekuta hivi;(Airplane Mode,Wi-Fi,VPN na Carrier.Au simu yangu kimeo?????,tafadhali kama inawezekana unipe na: yako ya simu tuongee moja kwa moja.Naomba msaada wako tafadhali,namba yangu ni 0717 166455

11. BinMgen

BinMgen JF-Expert Member

#11
Aug 12, 2011
Joined: Jun 18, 2008
Messages: 1,816
Likes Received: 28
Trophy Points: 145
tayari hii 4.2 iko jailbreak lakini bado hakikurudi.

12. Osaba

Osaba JF-Expert Member

#12
Aug 12, 2011
Joined: Apr 10, 2011
Messages: 1,721
Likes Received: 119
Trophy Points: 160
Mkuu mimi natumia iphone mbili moja nilivoinunua ilikuwa iko locked na nyingine ilikuwa unlocked hiyo iliyokuwa locked niliifungua nikaijailbreak na nikakuta ina cydia na hii nyingine haina cydia kwa kuwa haikuwa locked so hiyo ya kwanza ina internet tethering nyingine haina hata nikiupdate new versions za ios

13. Brakelyn

Brakelyn JF-Expert Member

#13
Aug 12, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,236
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
hapo mkuu unatakiwa iuongeze mwenyewe, kama ipo jaibroken then fungua cydia kwenye menu ya simu, nenda search, andika MyWi 4.0 then Instal,,hakikisha pia na Instructions za hiyo MyWi kama zipo compatible na firmware version yako..

14. Brakelyn

Brakelyn JF-Expert Member

#14
Aug 12, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,236
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
mkuu Iphone yako ni ipi, 3G/3GS au 4? na inatumia firmware version gani ili nikuelekeze? nenda settings, general, about, version....

15. Kitabu

Kitabu JF-Expert Member

#15
Aug 12, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 257
Likes Received: 5
Trophy Points: 35

Version 3.1.2(7D11),model MB489B,modem firmware 05.13.04;Kama sijakamilisha tafadhali nijulishe Mkuu

16. BinMgen

BinMgen JF-Expert Member

#16
Aug 13, 2011
Joined: Jun 18, 2008
Messages: 1,816
Likes Received: 28
Trophy Points: 145
Ubarikiwe sana mkuu, nimefanikisha for using mywi 4.

17. Brakelyn

Brakelyn JF-Expert Member

#17
Aug 13, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,236
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
pamoja mkuu........

18. Brakelyn

Brakelyn JF-Expert Member

#18
Aug 13, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,236
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
mkuu Internet Tethering imewezeshwa kuanzia IOS Version 4 na kuendelea hivyo unatakiwa uUpgrade firmware ya simu yako to IOS 4+, pia ni muhimu kuJailbreak ili uweze kuweka MyWi 4.0 kama mkuu alivyofanikiwa hapo juu...kuna Tutorial za namna ya kujailbreak kwenye google, ila ungekuwa umeniandikia ni Iphone gani unatumia kati ya Iphone 2G, Iphone 3G, Iphone 3GS na Iphone 4 ningekutaftia jailbreak ya ios unayotakiwa kuweka,,,,

19. Brakelyn

Brakelyn JF-Expert Member

#19
Aug 13, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,236
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
sawa sawa mkuu ukiJailbreak unapata internet tethering kwenye settings...

20. Kitabu

Kitabu JF-Expert Member

#20
Aug 13, 2011
Joined: Jan 7, 2011
Messages: 257
Likes Received: 5
Trophy Points: 35

Mkuu hako kamekuwa kamtihani kwangu,niende wapi ili nitambue kuwa ni iPhone ipi...!!!

Loading...