Tafadhali eleza zaidi.
Unataka site yako ikuwe ya nini? Online sales, notifications, adverts ama?
Naitwa Gati na nina umaarafu kwa kuwa nimetengeneza sites kadhaa ambazo zinafanya business tofauti - moja ni ya book sales, nyingine finance, nyingine news, na kadhalika.
Lakini inabidi ueleze zaidi.