Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Aug 9, 2016 #1 Hallo. Nahitaji kutengeneza Bango Sio la Biashara, hapana. TANGAZO/NOTICE. Lenye Maneno kama 20. Material yatakayo tumika ni kitambaa tu. Naomba Mwenye kufanya mambo ya Graphic designing anipe Gharama yake.
Hallo. Nahitaji kutengeneza Bango Sio la Biashara, hapana. TANGAZO/NOTICE. Lenye Maneno kama 20. Material yatakayo tumika ni kitambaa tu. Naomba Mwenye kufanya mambo ya Graphic designing anipe Gharama yake.
B bagain JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 363 Reaction score 230 Aug 9, 2016 #2 Maneno 20 si machache kwa notice. Kwa uzuri wa muonekano ni bora machine printed bango. Ukubwa wake unataka mita ngapi kwa ngapi?
Maneno 20 si machache kwa notice. Kwa uzuri wa muonekano ni bora machine printed bango. Ukubwa wake unataka mita ngapi kwa ngapi?
WA-UKENYENGE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 2,918 Reaction score 1,236 Aug 9, 2016 #3 Unataka uyarushe kwa drone au?