Nahitaji kutengeneza boksi za kubebea parachichi

Wakuu nisaidieni sehemu gani naweza kupata boksi hizo mfano hapo chini nimetuma picha yake.View attachment 1398779View attachment 1398781

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ni mtanzania nafanya kazi inayohusisha mizigo na kwa sasa niko Kenya-Nairobi naona watu wengi sana wananunua vifungashio vyao hapa nairobi na kampuni za vifungashio ziko nyingi na quality zao ni nzuri, sio kwamba mim sio mzalendo ila kama unafanya biashara nje ya nchi basi nakushauri ununue kenya ila kama sio nje ya nchi basi unaweza kutafuta sehemu yoyote kwa hapo Dar.
 
Hata mimi nimekuelewa

 
Hizi box zinatoka Kenya hata kampuni kubwa za export wanaagiza huko, kuna mtanzania alianza kutengeneza mwaka huu lakini malalamiko ya wateja kuhusu ubora yalikuwa mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Sana Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…