Gini
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 398
- 385
Habari wakuu, ni imani yangu mko salama. Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu asifiwe, asallam alleikhum!
Nina shahada ya Elimu (B.A.Ed) na nimefanya kazi kwa miaka 6 sasa, ninafikiria kujiendeleza zaidi. GPA yangu sio nzuri sana, nina GPA ya 2.9 kutoka St. John. Nimewaza kwenda kusoma (Masters), ninafikiria kusoma course nje na ya maswala ya Elimu. Nimejaribu kutafuta Prospectus kwa vyuo tofauti nimeshindwa kupata. Msaada, ni course gani Naweza kusoma kwa GPA hiyo, ukiachana na Maswala ya Engineering ya sayansi na mambo ya medical ambayo naamini sina msingi mzuri.
Nawasilisha, je kwa GPA hiyo napata chuo au iko chini na kozi gani nzuri ambayo ni marketable?