Nahitaji kusoma advance kama private candidate nifanyeje?

Nahitaji kusoma advance kama private candidate nifanyeje?

Alexander McQueen

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
186
Reaction score
41
Ndugu wana jf poleni kwa majukumu kuna ndugu yangu amehitimu form four mwaka 2015 na alipata III 25 CIV D ENG C PHY D KISW C BIOS D HIST D CHEM C GEO D B/MATH D lakini uwezo wa kusoma private school haiwezi na pia kujisomesha chuo hawezi anahitaji kusoma kama private candidate five & six comb ya EGM au CBG na hujui sheria za kujisajili ni zipi ili afanye mitihani.

Kama PC na je akifaulu form six atapata mkopo O level amesoma St kayumba interior hukoo na alikuwa vzr tuuu masomo ya sayansi ila mazingira ndio yalimfelisha na angehitaji sana ushauri na wapi anaweza akosemea

Kwani yeye yupo mkoa wa MWANZA

Kwa mawasiluano kwa ajili ya ushauri
Watsap no 0758-494651
Email andrewsosipeter@gmail.com


Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaweza kusoma kama private aende shule anayotaka kusoma watampa maelekezo yote Mimi nilisoma kama private na nikafaulu cha muhimu atafute company ya kusoma nayo advanced bila company hauwezi faulu
 
Inawezekana mimi nilisoma PCM na nilikua private ila awe na marafiki wanaosoma pamoja na pia awe anapiga papers nyingi za majaribio
 
Back
Top Bottom