Habari,
Nina (blogspot) ambayo nataka kui-register haraka iwezekanavyo kwenda (.com).
Naomba kujua yafuatayo.
1. Taratibu ni zipi.
2. Gharama ni zipi.
Kama kuna ushauri pia, nini cha msingi ninapofanya hii registration nitashukuru kwa ushauri. Maana nataka kufanya hii registration leo.