sizy Member Joined Jun 14, 2010 Posts 29 Reaction score 4 Jan 21, 2014 #1 Ndugu wana bodi naombeni msaada, Nahitaji kusafiri kwenda msumbiji, mimi ni Mtanzania, je ninahitaji visa? ni mahitaji gani yanatakiwa? Nitakaa kwa muda wa siku tano. Asanteni.
Ndugu wana bodi naombeni msaada, Nahitaji kusafiri kwenda msumbiji, mimi ni Mtanzania, je ninahitaji visa? ni mahitaji gani yanatakiwa? Nitakaa kwa muda wa siku tano. Asanteni.
Visenti JF-Expert Member Joined Jul 24, 2008 Posts 1,025 Reaction score 333 Jan 21, 2014 #2 au piga namba hii ubalozi watakusaidia majibu sahihi 0222124673