Elly official
JF-Expert Member
- Sep 16, 2018
- 767
- 1,038
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mm sio mwoga hata kidogo. Nimejipanga sana ishu sijaijua vizuri ni vibali vya kurukaKwa jinsi ulivyoeleza hapa, nadhani utafanikiwa kwa zaidi ya 80%, labda uwe mwoga au ufatilie historian ya waliyoshindwa hapa tz.
.Umeshaamka?
π π π π π πUmeshaamka?
Bado yuko hewani/angani, akitua atatupa mrejeshoMkuu ulifanikisha?