Naitaji kupanga apartment kwa siku moja tu, yenye chumba na sebule na full furniture
Nitakuwa na wagen wangu 15 ambao tutakuwa na meeting kidogo
Chakula na vinywaji vyote tutanunua hapo hapo
Bajeti yangu ni dola $50
Mwenye uwezo wa kunisaidia ani dm
niliwah kuwatumia hawaNenda b n b
Uchelewi kukuta apartment yako kwenye porn sites15 people in one-bedroom apartment?
Sa mkuu kama anakikao kwanini asikodi ukumbi anakodi apartment kama sio orgy😳😳😳😳
Orgi ndo niniSa mkuu kama anakikao kwanini asikodi ukumbi anakodi apartment kama sio orgy
Hahahahaaaa noma sana wanatafuta location hawa.Sa mkuu kama anakikao kwanini asikodi ukumbi anakodi apartment kama sio orgy
yaah...halafu anataka chumba cha kazi gani km ni mkutaano si akod ukumbi..afu chumba chenye kitanda...duuhSa mkuu kama anakikao kwanini asikodi ukumbi anakodi apartment kama sio orgy
Kuna apartment pale survey kwa sh 70,000 kwa siku Ina vyumba vitatu jiko sitting room full furnitureNaitaji kupanga apartment kwa siku moja tu, yenye chumba na sebule na full furniture
Nitakuwa na wagen wangu 15 ambao tutakuwa na meeting kidogo
Chakula na vinywaji vyote tutanunua hapo hapo
Bajeti yangu ni dola $50
Mwenye uwezo wa kunisaidia ani dm
Nenda Lunch time hotel opposite Mabibo hostel... Kuna vyumba vyenye sebule iko fully furnished.Naitaji kupanga apartment kwa siku moja tu, yenye chumba na sebule na full furniture
Nitakuwa na wagen wangu 15 ambao tutakuwa na meeting kidogo
Chakula na vinywaji vyote tutanunua hapo hapo
Bajeti yangu ni dola $50
Mwenye uwezo wa kunisaidia ani dm
Uchelewi kukuta apartment yako kwenye porn sites