Nahitaji kupumzika

Wewe ulikua unaishi na mwizi, na ulimuamini kwakua uliamini kwamba kwa kumlea atatulia na awe wako pekeyako.
Kwajinsi ulivyo andika, ni dhahiri ulikua unafuga Mario ndani kwako ingawa haujataka kuweka wazi hapa.
Ila pole aiseee....
Haya pumzika
 
Unajipa stress bure tu, kwa hapa Bongo kuoa au kutooa haisaidii kitu.....watu wanachapana kinoma. Wake wanatongoza marafiki wa waume zao na wanaume wanakula marafiki wa wake zao. Kwa kifupi, tunachapana kinoma.....yabidi kuomba Mungu tu atuepushe na haya magonjwa ya zinaa.
 
Pole sana ila stori yake kama haipo kamili au ni mimi nd sijaelewa
 
Katika mahusiano,usikubari/kuruhusu mwenzio awe na mashaka na wewe juu ya usaliti.

Maana hataweza kuhudhulia mapenzi tena kama ilivyokua mwanzo.

Kwenye mapenzi jitahidi kuwa mkweli ,kua muwazi,ukiulizwa jibu kwa ufasaha na kusiwe na majibu ya kujiuliza zaidi.maana unakuta mtu anakuuliza ulikua wapi tu,

Hamkawii kujibu kwani Mimi huniamiami ? Unaniona Malaya.majibu kama hayo yanazidisha wasiwasi kwenye mapenzi,unatakiwa ujiamini na unyooshe maelezo.
 
 
Wewe ulikua unaishi na mwizi, na ulimuamini kwakua uliamini kwamba kwa kumlea atatulia na awe wako pekeyako.
Kwajinsi ulivyo andika, ni dhahiri ulikua unafuga Mario ndani kwako ingawa haujataka kuweka wazi hapa.
Ila pole aiseee....
Haya pumzika
Kuna ukweli ndani yake,,
 
Next time i will keep your advice, thanks
 
kuna wanaume wana utoto mwingi sana hebu mchukulie kama mwizi flan
 
jaman kuna watu mnapitia kwenye mahusiano magumu?? hapo tu hujaoana nae analeta mapicha picha! aisee....kweli tumeumbwa tofauti.....tena tofauti mno
hivi unahamiaje kwa mwanaume tena chumba kimoja na hajakuoa? si kila mtu apange kwake elf 30 kitu gani jamani? bora hata iwe mjumba aah!!
 
hivi unahamiaje kwa mwanaume tena chumba kimoja na hajakuoa? si kila mtu apange kwake elf 30 kitu gani jamani? bora hata iwe mjumba aah!!


alafu uniletee picha picha hahaha! mie nashukuru mahusiano yangu hayakuwa ya mazingaombwe kama haya yaan khaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…