Nahitaji kupata mume, tujenge maisha

Hello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3. Nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5. Mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar

Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1. Awe mweusi
2. Awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama ni mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4. Awe anafanya kazi, maana maisha ni kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayari.

Asanteni
Hongera kwa maamuzi magumu, ila kwa idara ulipo jitahidi kuandika kama mwelimishaji ili kuakisi na kuitendea haki taaluma yako
 
Humu mtu anatafuta ndoa bado hayuko tayari kuingia kwenye ndoa, wengi wana maringo sana sijui shida nini. Maisha ni mipango tu mnachagua sana mwisho wa siku mnakosa vyote.
Tatizo ni umri unazuzua wadada wengi,dunia ya leo ni ngumu kukuta mwanamke below 25 akikubali kuolewa wengi wana masharti mengi sababu wana access kubwa ya wanaume baadae wakichuja ndio haya hutokea,wakiulizwa hoja yao wanawake ni wengi kuliko wanaume japo takwimu za sensa zinaonesha tunakaribiana sana interms of percentage,hata mimi kuna kidemu niko nacho kina 22 niko tayari kukioa hata sasa ivi ila drama zake sasa,mara nataka kwenda uk kwa mamdogo nikafanye kazi mwaka mmoja nikirudi ndio tufanye maisha,mara ooh nizae na miaka 22 mh bado
 
Hello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3. Nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5. Mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar

Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1. Awe mweusi
2. Awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama ni mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4. Awe anafanya kazi, maana maisha ni kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayari.

Asanteni
Mi sifa zote ninazo ila sitaki kufanya kazi
 
Tunafanana mku
Hi ni changamoto yao kubwa

Similar Discussions

Back
Top Bottom