Nahitaji kupata mume, tujenge maisha

Hello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3.nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5.mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar
Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1.awe mweusi
2.awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama n mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4.awe anafanya kaz, maana maisha n kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayar. Asanten
Hilo tangazo limejirudia tena
 
Nyie mnanifanya nifrustrate zaidi yaani vipimo vya ndoa sio tena tabia, upole na upendo?
Vipi kama utampata mwenye hizo sifa alafu akakosa upendo wa dhati kwako?.
Awe anaishi dar vp ikitokea kesho umehamishiwa katerero utatuambiaje?. Awe mkristo kivipi by name or god fearing man?. Hyo ndoa itakuwa ya maigizo na mume utakuwa umemtengeneza kama kinyago. Wewe mpende akupendae kwani hata wewe unatakiwa uendane na yeye na sio yeye tu aendane na wewe. Mimi kama nitakuja siku hamtamaniani tena i.e Frustration comes when you two break up just because you're in inapropriate relationship.
Mimi ni mpenzi mtazamaji.
 
Hello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3.nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5.mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar
Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1.awe mweusi
2.awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama n mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4.awe anafanya kaz, maana maisha n kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayar. Asanten
Cc Mahondaw
 
vipi madoido yameisha eeeh ?! Na bado ngoja ugonge 38 years utaomba upata mwanaume anaepumua tu.
 
Hello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3.nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5.mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar
Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1.awe mweusi
2.awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama n mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4.awe anafanya kaz, maana maisha n kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayar. Asanten
Vigezo vyote nakidh isipokua dini tu hapo kama upo tayar njoo private
 
Mimi ndo hata sijajuaga nitampatia wapi mwanamke mwenye sifa nizitakazo maana mademu wanawaza kula bata tuu.
Hata ukienda makanisani ukahisi umeopoa mcha Mungu akija huku anawaza vacation tuu na maisha ya Instagram
 
Hello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3.nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5.mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar
Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1.awe mweusi
2.awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama n mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4.awe anafanya kaz, maana maisha n kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayar. Asanten
Wengine hatuishi dar, ila sifa tunazo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom