Nahitaji kupata Mastercard au VISA Card, ninaweza kuipata wapi?

Nahitaji kupata Mastercard au VISA Card, ninaweza kuipata wapi?

Smart Technician

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
653
Reaction score
826
nahitajo kuwa na mastercard au visa nnaweza nkapata wapi hapa bongo?
je ni kweli visa card inatumika kila benki?
 
nahitajo kuwa na mastercard au visa nnaweza nkapata wapi hapa bongo?
je ni kweli visa card inatumika kila benki?

duh, wewe unaishi wapi?!! benki karibia zote zina moja ya kadi hizo, ukiona kadi imeandikwa visa/mastercard ndiyo hiyo. au labda ueleze unataka kuitumiaje ilil usaidiwe zaidi!
 
nisaidie na jinsi ya kutumia.maana huku kwetu tumezoea weka fedha kwenye kibubu bas
 
Kariakoo wanaziuzaga. Bei ya jumla mia tisa hamsini. Ila rejareja unaweza pata kwa buku jero. Za mlimani city ndo nzuri zaidi. Hata mi nnazo nne hapa, moja nimempa bi mdogo.
 
kama una ATM card ya bank kama CRDB hiyo ni visa, mastercard..
unaweza kuitumia kwenye ATM ya bank yoyote inayatumia visa. pia kulipia bidhaa flani nje ya nchi, na kwenye baadhi ya supermarkets za hapa bongo.
kwa msaada na maelezo zaid nenda bank huduma kwa wateja watakuelekeza
 
Naona huyu jamaa mahitaji ya ni credit card na sio Visa au master card ila hajafafanua vizuri
 
nahitajo kuwa na mastercard au visa nnaweza nkapata wapi hapa bongo?
je ni kweli visa card inatumika kila benki?

kajiunge vikoba...watu wengi wamepewa huko tena bure
 
ni rahisi sana kupata debit card iwe ni visa au mastercard kutoka bank nyingi tu hapa, ila kuna vigezo zaidi kupata credit card ya visa au mastercard, hata hata kimatumizi credit card ni rahisi zaidi na inakubalika karibu kote, debit card in viprocess kidogo na kuna wengine hawakubali transactions zake. so tembelea bank utapewa maelezo kamili
 
Jamani na mie mwenyewe hapo nauliza kuhusu debit master card kwa ambao wanajua kwamba wanazingatia mini ili kuipata. Na he ni nmb bank wanaweza kuwa wanatoa huduma ya hizo card
 
nahitajo kuwa na mastercard au visa nnaweza nkapata wapi hapa bongo?
je ni kweli visa card inatumika kila benki?
Bank karibu zote zina master card,,VISA ,,ila sio bank zote unaweza kutoa pesa...mfano mm Nina master card ya CRDB,,,nikiwa south inakuli STANDARD BANK...pekee...sijuwi kwa zingine,,,ila kama una account,,, nenda bank ask for master card

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom