Tumia Snaptube
Wadau vp,?
Nashindwa kudownload videos kutoka youtube kwa kutumia tubemate, vidmate naambiwa app hzo hazijawa verfied na youtube
Nifanyeje au nitumia app gani kuzipata video za youtube? Maana inaonekana app zote zimepigwa ban kuchukua videos youtube
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia application inayoitwa snap tube haipatikan play store , tumia mozila au crome kuidownload utafurahia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna apps nying sana.. Hao tubemate wamefunga tyr.. Kuna apps kama vidmate, ucmate ila apps nzur sana ni VIDEODER na mm ndo natumia ina uwezo wa kudownload mp3 na mp4 yaan kama unataka audio au video.. View attachment 1299813View attachment 1299814
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu ume fika mapaka huku?
OK Nina njia mbili nazo tumia kwa mimi moja ni iyo ambayo wewe unasema wame kugomea
Na ya pili ni hii fuata maelekezo
Unatafuta video au chochote utakacho ili kukipakua
Una bonyeza mshare wa kushare
U nakuta kibox ambacho kitakutaka ku copy iyo video au kitu hicho binya hapo ili uko copy
Then njoo kwenye appy yoyote tuu unyo tumia kupakulia
Chrome au Ata Google
Then pale juu andika save frome net zen search
Itakuja iyo video yako
Na chini itakupa maelezo ya kupakua iyo video kwa quality unayo itaka
Uki binya tuu kwenye iyo quality Ina pakua
Jaribu lakini pia njia hii ipo huko YouTube so andika
Jinsi ya kudowlod video YouTube Itakuja Uta jifunza
Sent using Jamii Forums mobile app