Natumai humu ndani nyote hamjambo. Poleni na majukumu.
Nahitaji kujua gharama za powertiller aina ya kubota naweza pata wapi hapa Dar na price zikoje.
Yeyote mwenye kujua tafadhari naomba unijuze. kama unauza niPM namba yako ili tufanye biashara.
asante.