Nahitaji kununua kiwanja

Nahitaji kununua kiwanja

Kijiti

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
190
Reaction score
27
Habari za humu ndani wanajamvi,
nilikua natafuta kiwanja kinachoendana na hela yangu ya 3.5m sehem nzuri sio mabondeni,maeneo ya goba,kibamba.
mwenye taarifa au kiwanja ani pm tuongee biashara dalali hatakiwi,kisiwe double occupant na kisiwe na ugomvi.
Nawasilisha.:boxing::clap2:
 
Unachohitaji ndicho ulichoandika, huombi sana utakipata mapema mnooo
 
Habari za humu ndani wanajamvi,
nilikua natafuta kiwanja kinachoendana na hela yangu ya 3.5m sehem nzuri sio mabondeni,maeneo ya goba,kibamba.
mwenye taarifa au kiwanja ani pm tuongee biashara dalali hatakiwi,kisiwe double occupant na kisiwe na ugomvi.
Nawasilisha.:boxing::clap2:
30Mx30M kipo Mwasonga-Kigamboni
 
Habari za humu ndani wanajamvi,
nilikua natafuta kiwanja kinachoendana na hela yangu ya 3.5m sehem nzuri sio mabondeni,maeneo ya goba,kibamba.
mwenye taarifa au kiwanja ani pm tuongee biashara dalali hatakiwi,kisiwe double occupant na kisiwe na ugomvi.
Nawasilisha.:boxing::clap2:

Mimi mwenyewe nauza changu ila ni maeneo ya Kisemvule Karibu na Vikindu njia ya kwenda Mtwara kwa Bei hiyohiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom