Nahitaji Kununua Gari-Probox

Nahitaji Kununua Gari-Probox

WAPOMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Posts
689
Reaction score
175
Nahitaji kujua namna ya kununua gari probox,nipo dar, je show room gani nitapata na bei gani,Zanzibar napo vipi na Ndugu yangu kanambia niagize japan je kampuni gani nzuri na urahisi na faida gani kwa kuagiza huko!? .
Plz assist.
 
Habari yako,

Kama bado hujapata ama unahitaji nyingine, tafadhari usisite kuwasiliana nami kwa magari imara na bora kwa bei poa kabisa.

Waweza ni "pm" ama waweza kuniandikia barua pepe kupitia ecarstanzania@gmail.com

Karibu!
 
Back
Top Bottom