Alibaba hawana shopping cart mkuu, mara nyingi sana manunuzi yanakuwa ni makubaliano baina ya mnunuzi na muuzaji, kadhalika pia wanakuwa na minimum order quantity.
Jaribu kuitafuta AliExpress. Lakini pia jaribu pia ambazo zipo madukani hapa bongo, ili uone utofauti wa bei.
Karibu sana kwa msaada zaidi