Nahitaji kununua Email Account za gmail 20

Kuna mtu atauza email yake kwa jero, amesahau kama aliomba kaz fulan kupitia hiyo email, mchongo umetick anatafutwa hapatikan
 
Acha ujinga wewe, unataka upeleke kwa alqaeda, alshabab, isis, taliban na boko haram halafu aliyeverify ndio adakwe?

Halafu ujinga gani huo wa kuuziana vitu kwa 500?
 
Napenda kugawa riziki kwa wengine pia!!
Ndo utoe 500😏
Wakati tumeweka bando la 10,000 sawa na Hela utakayogawa kwa hao watu wako 20 LOL!
Ungemcheck member anajiita Ugumu wangu juzi Kati alitapeli mtu humu huyo angekupa hata email 1000 na ushee
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Sitaki kuamini mtoa mada yuko serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…