Nahitaji kumuoa ila nime disco chuo

Mweleze ukweli atakuelewa tu mana ana msimamo. Au dawa nyngne mjaze kabisa umfunge
 
Kwa nilivyoelewa mimi issue hapo ni kudisco ukizngatia makubaliano yao ya kuoana yaliandamana na kumaliza kwao chuo bahat mbaya bro hali si nzur kimatokeo sasa hapa mtihan ni jins ya kumwambia ukwel mpnz wake na atalichukuliaje swala la kudisco kwa mshikaj ...
Ushaur wangu hebu jarib ku create script ya uongo inayoendana na yaliokutokea halaf mwishon unamwambia kama ingenitokea mimi ungelichukuliaje then utamsikia reaction yake na hapo ndo atakupa kipimo nearly accurate ni jins gan anakupenda na kukuthamin ktk hali zote kimaisha .. nb usitegemee rasilimali za familia kujikweza kuoa jipange wewe kama wewe hvyo vingn viwe ziada tuu ...!
 

Big uuup mkuu
 

Usidanganyike, kwa kuwa ume-disco, basi wewe jikate, kwa sababu wewe ni kilaza, sasa kilaza na familia wapi na wapi, au ndo michosho tu? Uko wapi nikuweke kwe booty ya mistubishi, nikupeleke kwa makasisi Kisha mazishi!
 
kwani ukioa ndio hasumbuliwi...kuwa makini...haraka yake isiwe mtego....kwanza hujamaliza issue yako ya ku disco hajajua ....be careful...akijua akakutosa utasma hana maoppenzi ya kweli au...be care....
 
Ha ha ha ha lol

Nakupigia hupatikani, Nahisi simu ysko itakuwa imetumbukia kwenye supu,nikaona Nikuchukulie i phone 6, una nafasi saa ngapi Nikupitishie?
Nakupenda sana binti, Nakupenda kuliko cheese burger, Nakupenda kuliko oxygen, Naomba unikubalie niwe mpenzi wako, Nataka Nikupende mpaka ukinai, Nataka Niitawale nafsi yako, Unifikirie mimi tu kama Navyokufikiria wewe tu.
Samahani kwa muda wako na usumbufu wa kusoma maelezo yangu marefu. Kutokana na hilo, Naomba Nikutumie laki 7 kama gharama ya usumbufu na advance ya gharama ya jibu lako kwangu, hata kama litakuwa negative.
Vipi, bado hujaanza kuinjoi usumbufu?
 
Mchumba angu kadisco teh

Nakupenda totoo! Nakupenda kama nyamachoma iliyo na ndimu, chumvi kwa mbali na kachumbari pembeni, Nakupenda kama coca cola ilivyo tamu baada ya kutembea juani kwa masaa manne, acha kuuchuna, Naomba unijibu, na chochote unachotaka Nitakufanyia.
Hii ni kweli lakini, usichukulie kama mzaha!
 
Kuoa Ni Kama Kifo Muda Ukifika Utaoa Tu Popote Na Yeyote Kwa Vyovyote Vile Bila Kuomba Ushauri
 


Lol....kwa usumbufu huu naona ndoa wiki ijayo ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…