Nahitaji kumuacha lakin sijui nifanyaje

Nahitaji kumuacha lakin sijui nifanyaje

What goes around always comes back around.. we muache na lazima utakuja kuachwa.. mark my words
 
Mpe ule wimbo wa Eamon I DON'T WANT U BACK, mwambie asikilize mpk mwisho mwenyewee atakuacha kabla hujamtamkia.
 
Nenda fb katafute watoto wenzio wakushauri huku jf umebug men,
 
Natamani siku unamuambia awe amekuja na bisibisi!!!
 
Back
Top Bottom