Nahitaji kumuacha lakin sijui nifanyaje

Nahitaji kumuacha lakin sijui nifanyaje

myne

Member
Joined
May 17, 2013
Posts
80
Reaction score
5
Kuna binti nlimtongoza kama utan tu na kwa kua alkua anakataa kuwa na boy kwa wakat ule alinikatalia kabisa na kwa kuwa alkua ni rafik yangu basi nilijckia aibu xana kwa kunikataa kwake,hivyo nlitumia ushawishi wangu kama mtoto wa kiume mpaka akakubali ili tu niondoe aibu. Sasa binti kakolea ile mbaya kwangu na mimi sina hata mpango nae kwa sasa,lakin NAHITAJI KUMUACHA KWASABABU SINA MAPENZI NAE KABISA NA SIJUI HATA NIFANYAJE ILI NIWEZE KUACHANA NAE.
NAOMBENI USHAURI WENU WANA JF ILI NIWEZE KUACHANA NAE
 
Acha utoto na upuuzi! umekojoa midude yako ndiyo unagundua humtaki. stupid!
 
Punguza mawasiliano nae taratibu taratibu kwa kigezo chakuwa upo busy au simu ilkuwa mbali na wewe ukashindwa kupokea n.k..
 
nishafanya ivo lakin amekua analalamika sana ndugu
 
mweleze ukweli kama yeye alivyokueleza ukweli kipindi ukiwa unamtongoza
 
Mbona wakati unamtongoza hujatuambia

ila kumuacha ndio unataka tukushauri!!!!!!

Mwambie ukwel kila mtu ashike njia yake
 
asa ulimtongoza wa nini ili hali unajua humpendi, mbafu sana
 
nishafanya ivo lakin amekua analalamika sana ndugu

Usiogope jinsi anavyolalamika, akilalamika badilika kuwa gud boy within a week unarudi tena vile vile kuwa busy boy mana kulalamika huko ndo kutamfanya baadae asalimu amri na kuamua kumove on.
 
Mweleze tu ukweli ingawa ataumia sana kama amekupenda kuliko umpotezee muda wake baadae aje kujutia. Ila always remember "WHAT GOES AROUNDS COMES AROUNDS" Mapenzi si kitu cha mchezo hata siku moja.
 
Thanks kwa ushaur wenu japo wengeni wanadhan mi ni chizi
 
Ule uanaume wako uliou2100 wkt wa kumshawishi ndio uhouho 2100 kumuacha.
 
"what goes around comes around".
usifanye mchezo na hisia za mtoto wa watu, utalipa.
Ushauri: kwa kuwa ni makosa yako, usimuumize ukitafuta kusahihisha makosa yako, kaa chini na uongee nae kwa hekima ma busara
 
Kuna binti nlimtongoza kama utan tu na kwa kua alkua anakataa kuwa na boy kwa wakat ule alinikatalia kabisa na kwa kuwa alkua ni rafik yangu basi nilijckia aibu xana kwa kunikataa kwake,hivyo nlitumia ushawishi wangu kama mtoto wa kiume mpaka akakubali ili tu niondoe aibu. Sasa binti kakolea ile mbaya kwangu na mimi sina hata mpango nae kwa sasa,lakin NAHITAJI KUMUACHA KWASABABU SINA MAPENZI NAE KABISA NA SIJUI HATA NIFANYAJE ILI NIWEZE KUACHANA NAE.
NAOMBENI USHAURI WENU WANA JF ILI NIWEZE KUACHANA NAE

Ulimtongoza wa nn km unajua huna mpango nae?
Yaani wanaume wengine bana cjui mtabadirika lini!do u knw that unacheza na hisia za mtu?
 
Kuna binti nlimtongoza kama utan tu na kwa kua alkua anakataa kuwa na boy kwa wakat ule alinikatalia kabisa na kwa kuwa alkua ni rafik yangu basi nilijckia aibu xana kwa kunikataa kwake,hivyo nlitumia ushawishi wangu kama mtoto wa kiume mpaka akakubali ili tu niondoe aibu. Sasa binti kakolea ile mbaya kwangu na mimi sina hata mpango nae kwa sasa,lakin NAHITAJI KUMUACHA KWASABABU SINA MAPENZI NAE KABISA NA SIJUI HATA NIFANYAJE ILI NIWEZE KUACHANA NAE.
NAOMBENI USHAURI WENU WANA JF ILI NIWEZE KUACHANA NAE

Hivi ndugu zangu, huu ni utani wa aina gani?! Utani wa kucheza na nafsi na akili za watu?
 
Kuna binti nlimtongoza kama utan tu na kwa kua alkua anakataa kuwa na boy kwa wakat ule alinikatalia kabisa na kwa kuwa alkua ni rafik yangu basi nilijckia aibu xana kwa kunikataa kwake,hivyo nlitumia ushawishi wangu kama mtoto wa kiume mpaka akakubali ili tu niondoe aibu. Sasa binti kakolea ile mbaya kwangu na mimi sina hata mpango nae kwa sasa,lakin NAHITAJI KUMUACHA KWASABABU SINA MAPENZI NAE KABISA NA SIJUI HATA NIFANYAJE ILI NIWEZE KUACHANA NAE.
NAOMBENI USHAURI WENU WANA JF ILI NIWEZE KUACHANA NAE
Acha kuwa na akili za kitoto au tafuta jukwaa la wenzako.
 
Back
Top Bottom