nimekosa sifa moja tu dini mm ni muslimSifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati
Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
Sasa kama umri huo unakula shikamoo baba na mama huoni nihatari?Nina sifa zote tatzo bado nakula nyumbani... Kwamaana ya kwamba bado nalelewa na wazee.. Sijui nitafaa ?!
Huna kigezo namba tatu.Nina sifa zote tatzo bado nakula nyumbani... Kwamaana ya kwamba bado nalelewa na wazee.. Sijui nitafaa ?!
Kwenye blue hakuna upatanishi wa kisarufi,mosi.Mkriti ndio Nini?
Mkriti ndio neno gani? kama jipya tuliongeze kwenye kamusi zetu
Vipi Vizinga unapiga? Maana nyie ndio Zetu Siku ya Kwanza tu... Simu yangu imaharibika au Imepotea
Embu acha umbea mtoto was kiume utajashonwa marinda hayo eboo !Huna kigezo namba tatu.
Kaa kimya endelea kulelewa.
[emoji125] [emoji125]Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati
Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati
Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
Mkuu umbea wangu ni nini hapo?Embu acha umbea mtoto was kiume utajashonwa marinda hayo eboo !
Tuliza kitobo hicho.... ! Kinakuwasha nini ?Mkuu umbea wangu ni nini hapo?
Moja kati ya vigezo vya anayetaka mume ni mume kuwa na kipato chake,wewe bado unallishwa na wazazi wako.
Unaambiwa ukweli unaanza kutokwa na mapovu. Anyway UMESHAPAKULIWA au bado?