Habari za mchana huu wana jukwaa,nina kampuni nilisajili mwaka jana mwezi wa kumi,lengo ni kushughulika na tenda za kulisha chakula katika makampuni na viwanda mbali mbali ndani ya nchii hii.
pia ina malengo mengine mengi ila ilo likiwa moja wapo,natamani kupata mtu sahihi ambaye ataweza kunisaidia kupata tenda sehemu mbali mbali aliye na uzoefu wa kazi za kutafuta mazoko na tenda.