Nahitaji Kuku kuroila au sasso nko Mbeya

ynna

Member
Joined
Jul 13, 2017
Posts
59
Reaction score
25
Naomben mnsaidie WAP naweza kupata huku Nyanda za juu kusin asanten.
 
Sasso sikushauri maana wale walitengenezwa kwa ajili ya nyama so ukiwa na expection ya mayai usije jaribu kuwanunua hao utakuja kulia hapo baadae hata ulaji wake uko juu sana na kwa kawaida huanza kutaga wakiwa na miezi saba na productivity yake iko chini....

Kwa kuroiler Yes maana hawa wanasifa za layers na nyama pia ulaji wake uko chini sana na wanakuwa vizuri sana.... kwenye utagaji wako vizuri pia maana kuanzia miezii 4 na nusu wanaanza kutaga na wanaweza kukupa mayai kati ya 180 mpaka 220 kwa mwaka wao wa utagaji....

So mimi nakushauri uende kwa kuroiler achana na hao sasso lakni kama uko vizuri ni vyema ukachukua pure layers maana hao kuku wengine unaweza jikuta majogoo yako asilimia kadhaa na hivyo kama target yako ilikuwa ni mayai utaumia kiasi....

Kwa kanda hiyo wanapatikana let me try kumuuliza mtu fulani hivi nitakujuza....

Good luck.....
 
Mungu akubariki sana, wewe siyo mbinafsi na Mwenyezi Mungu ayanyooshe mapito yako. Amen.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom