Nahitaji kuku Kuchi

Kalafunja

New Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
4
Reaction score
1
Hi
Nahitaji kuku kuchi wa kufuga. Nipo Dodoma. Mwenye kuku hao tuwasiliane..
 
Mpigie huyu 0716 120 120 utapata tena wa ukweli.. Mwambie namba kanipa Rashid
 
Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo.
Angalia baadhi ya picture za kuchi
 
Vizuri njo Zanzibar.
Gharama ya nauli itakuwa reduced katika price ya kuku au
 
mtu wa zanzibar nitumie namba yako kweye No hii 0754990725 maana hujaweka namba yako hapa
 
Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo.
Angalia baadhi ya picture za kuchi

Mie nahitaji kuku wa aina hii nitawapataje
 
Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo.
Angalia baadhi ya picture za kuchi

Mie nahitaji kuku wa aina hii nitawapataje
Nipigie 0754 990725 nikuuzie unataka kuchi wangapi ninao kila aina
 
Naona uvivu ku google hawa kuku wana utofauti gani? Ndo hawa wakupiganisha na watu wanaBET au?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…