K Kalafunja New Member Joined Nov 4, 2010 Posts 4 Reaction score 1 Jan 27, 2016 #1 Hi Nahitaji kuku kuchi wa kufuga. Nipo Dodoma. Mwenye kuku hao tuwasiliane..
A alikhalef JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 717 Reaction score 75 Jan 28, 2016 #2 0779420000
mkayala JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 555 Reaction score 72 Jan 30, 2016 #3 Mpigie huyu 0716 120 120 utapata tena wa ukweli.. Mwambie namba kanipa Rashid
azzurre Senior Member Joined Apr 14, 2013 Posts 107 Reaction score 96 Jan 30, 2016 #4 Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo. Angalia baadhi ya picture za kuchi
Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo. Angalia baadhi ya picture za kuchi
K kanzule Member Joined Jan 17, 2016 Posts 89 Reaction score 33 Feb 1, 2016 #5 Kaka wa Zanzibar Mimi nahitaji hao kuku itakuwaje
azzurre Senior Member Joined Apr 14, 2013 Posts 107 Reaction score 96 Feb 1, 2016 #6 Vizuri njo Zanzibar. Gharama ya nauli itakuwa reduced katika price ya kuku au
M Mwangologo New Member Joined Jan 29, 2016 Posts 3 Reaction score 0 Apr 2, 2016 #7 mtu wa zanzibar nitumie namba yako kweye No hii 0754990725 maana hujaweka namba yako hapa
F Farmer101 New Member Joined Mar 31, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Apr 14, 2016 #8 Nahitaji Kuchi original pia. Azzurre mtu wa Zanzibar, tafadhali nitumie nambari yako kwa timnyongesa@yahoo.com
Nahitaji Kuchi original pia. Azzurre mtu wa Zanzibar, tafadhali nitumie nambari yako kwa timnyongesa@yahoo.com
J JAMBONIA 2 Member Joined Mar 25, 2016 Posts 45 Reaction score 11 Apr 16, 2016 #9 tembelea hii website.. mwachie ujumbe jamaa katika contact us www.makuchiblog.wordpress.com
G gpluse JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 681 Reaction score 883 Apr 28, 2016 #10 Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo. Angalia baadhi ya picture za kuchi Mie nahitaji kuku wa aina hii nitawapataje
Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo. Angalia baadhi ya picture za kuchi Mie nahitaji kuku wa aina hii nitawapataje
M Mwangologo New Member Joined Jan 29, 2016 Posts 3 Reaction score 0 May 15, 2016 #11 gpluse said: Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo. Angalia baadhi ya picture za kuchi Mie nahitaji kuku wa aina hii nitawapataje Click to expand... Nipigie 0754 990725 nikuuzie unataka kuchi wangapi ninao kila aina
gpluse said: Nipo zanzibar, ninao wa aina mbili special kwa kupigana na kuku kuchi wa mapambo. Angalia baadhi ya picture za kuchi Mie nahitaji kuku wa aina hii nitawapataje Click to expand... Nipigie 0754 990725 nikuuzie unataka kuchi wangapi ninao kila aina
E eng. kipande Member Joined Mar 28, 2015 Posts 32 Reaction score 3 Jun 11, 2016 #12 jaman nko dar nahitaji wa kufuga kuch wa kufuga...0654907899
N niah R I P Joined Sep 26, 2015 Posts 7,018 Reaction score 9,301 Jun 11, 2016 #13 Naona uvivu ku google hawa kuku wana utofauti gani? Ndo hawa wakupiganisha na watu wanaBET au?
for life JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 3,397 Reaction score 4,440 Jun 13, 2016 #14 duu kwa hyo ni kupiganisha twoo kumbe