Nahitaji kujua

Nahitaji kujua

Franklinyo

Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
46
Reaction score
1
Ni kweli kwamba wakina dada wanapenda kudangwanywa kuliko kuambiwa ukwel nisaidieni jamani.
 
1970760_670832632954434_988028892_n.jpg
 
Yaani anapenda umwambie saivi ni usiku wamanane wakati ni saa sita mchana?
 
Ni kweli kwamba wakina dada wanapenda kudangwanywa kuliko kuambiwa ukwel nisaidieni jaman

Kuna sehemu nilisoma kuwa mwanaume anayeeleza ukweli wote basi hakupendi...huenda hii ni kwa kaka zetu hapa Bongo. Binafsi napenda kuelezwa kweli tu niamue mwenyewe kusuka au kunyoa.
 
Maisha bila uongo sometimes hayaend...
Wewe unaulizia uongo kwenye mapenzi??
 
ndio ichana uongo wa mapenzi

Kwanza inategemea na uongo...sio kila kitu utanganya eg wewe ushatembea na wanawake kumi sidhani kama utakuwa tayar kumweleza new gal wako utadanganya na kusema 3...... also kuwezi kumdanganya gal wako kuwa wewe una pesa nying while unaoneka siyo huna kitu...
Uongo unahitaj kumbukumbu na ujanja kama huwez kuwa mkwel.
 
Back
Top Bottom