Mnyaman kauzu
Member
- Jun 26, 2016
- 77
- 56
Napenda nipate ushauri kuusu hiki chombo mana wengi wanakisifia sana lakini sioni matumizi.Pia upatikanaji utunzaji na spea nijue ili nifanyeje maamuzi bila kujutia
Mana naipenda sana lakini sifa zake sija zijua.
Na si vibaya nikawa najua na gharama.
Mana naipenda sana lakini sifa zake sija zijua.
Na si vibaya nikawa najua na gharama.