Nahitaji kujua rangi ya mwaka 2013

makuna202

Senior Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
115
Reaction score
20
Jamani naombeni mnijuze rangi ya mwaka huu ni ipi? Nisaidieni kwa anaejua wana JF
 
Jamani naombeni mnijuze rangi ya mwaka huu ni ipi? Nisaidieni kwa anaejua wana JF
Nenda kanunue makopo ya rangi uupake uipendayo! sisi waswahili asilia hatuna fetish hizo na hatuzishobokei!
 
Duuh..hili jipya kabisa kwangu.
 
Angalia rainbow ndio rangi ya mwaka i guess..
 
Mbona mwaka wenyewe unajiishia mpendwa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…