Unga wa Kitarasa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 398 Reaction score 101 Apr 13, 2012 #1 mambo vp wadau samahan jaman kuna hii kitu waiita javascript yaaani kila wakati mnapoongelea mi huwa mnaniacha nyuma sana wakuu naombeni japo kwa leo mnieleweshe samani lakini kwa usumbufu lakini...
mambo vp wadau samahan jaman kuna hii kitu waiita javascript yaaani kila wakati mnapoongelea mi huwa mnaniacha nyuma sana wakuu naombeni japo kwa leo mnieleweshe samani lakini kwa usumbufu lakini...
sijui nini JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 2,553 Reaction score 1,293 Apr 13, 2012 #2 JavaScript - Wikipedia, the free encyclopedia
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,720 Apr 13, 2012 #3 nami pia sijui kama wewe ila najua inahusiana na mambo ya technolojia ya mawasiliano. ngoja wenye utaala watudadavulie
nami pia sijui kama wewe ila najua inahusiana na mambo ya technolojia ya mawasiliano. ngoja wenye utaala watudadavulie