Nahitaji kujua bei ya Subaru forester sport 2003

DIFFENDA

Senior Member
Jun 23, 2013
124
53
Habari,

Ninahitaji kununua gari tajwa. Nataka kufahamu bei yake kwa show room za Dar au itagharimu bei gani kuagiza.
 
Nasubiri wadau mim pia nauhitaj wa gari pendwa Subaru forester ila sio lazma iwe sport car
 
Andaa 2500$CIF na kodi 5.7mil. Jumla andaa 12mil kuagiza. Bei za show room sizijui ila lazima zizidi hapo ili wapate faida yao
 
Back
Top Bottom