Ni ngumu hasa kusema ipi ni bora zaidi, ila kwa uzoefu wangu nunua hp 2600 series, 1600 series, 4038 hizi ndizo ambazo nimezitumia na nimezifurahia, kiufupi nafikiri ambazo hazina mbwembwe nyingi kama vile scanning na photocopy hizi ni bora zaidi kuliko zile za multipurpose