Under 20 wa kudumu
New Member
- Aug 23, 2021
- 2
- 0
Habari ndugu
Mimi ni kijana mwenye malengo ya kujifunza ufundi wa simu sasa naomba ushauri kipi nianze kati ya kuanza kujifunza kwa fundi wa mtaani kisha niend veta au niende veta af nirudi kwa fundi mtaani kwa uzoefu zaidi?