Najua hilo sema kwa uandishi wako unaonyesha Kama umewakweza sanaHayo mambo hayafai,usihalalishe.
Najua hilo sema kwa uandishi wako unaonyesha Kama umewakweza sanaHayo mambo hayafai,usihalalishe.
Kila siku ninawaeleza, mwanamke ni tabia na si sura pekee, lakini hamsikii!Wee jamaa una utani duh Jokate hafu hafikii ?
Wageni vipi wanarusiwa kuchukua na kuondoka nao?
Kwan we sio mtanzania?......... Kama hutaki kumsaidia mtu kaa kimya.....,.kuna watu watakaomsaidiaAisee,kama kuna mtu ambae hawaelewi WaTZ ni mimi.Hivi tuna matatizo gani hasa.Mtu unajua kutumia internet,kwa nini usijisomee mwenyewe?Hivi kinachokushinda ku-google "Eritrea" ukapata taarifa zote unzohitaji ni nini hasa?Ni uvivu au ni nini.I don't understand.Hivi mtu asumbuke kukufanyia kitu ambacho you can do on your own kweli.Hapana jamani huu ni umwinyi usiokubalika.

.....hata mimi nilitaka kusema hivio hivooooNi moja ya nchi iliyobarikiwa kuwa na wanawake wazuri kwa Africa
Ilo pekee ndio ninalojua kuhusu Eritrea
Unaposoma Ptolemy geography and perplus of erhthrean sea.....erythrea ni kama mji pembezon mwa bahar ya masharik.....Erythrea maana yake ni red sea,bahari nyekundu.
Erit au eryth =sea, rea=red.erhthrean sea
Daaah.najuta kuzaliwa tanzania
Kumbe ni habari ya "kusikia" tu!Naskia serikali inawaomba wanaume waoe angalau wanawake wawiliwawili...halafu ni wazuri balaa. Tuseme kama vile wewe uombwe kumuoa Jokate na Lulu labda kwa mfano..japo hawajafkia hata nusu
MaraHii ya wanawake kufika mala mbili idadi ya wa wanaume ilitokana na nini?
Upo sahihi kabisa mkuu,mleta mada ange google angepata jibu in a minute, tatizo siku hizi JF ni kama vile kuna mashindano ya kuanzisha Thread,ndio maana vithread kama hivi vya kuuliza viswali vya darasa la pili vimejaa sana humu JF siku hizi.Aisee,kama kuna mtu ambae hawaelewi WaTZ ni mimi.Hivi tuna matatizo gani hasa.Mtu unajua kutumia internet,kwa nini usijisomee mwenyewe?Hivi kinachokushinda ku-google "Eritrea" ukapata taarifa zote unzohitaji ni nini hasa?Ni uvivu au ni nini.I don't understand.Hivi mtu asumbuke kukufanyia kitu ambacho you can do on your own kweli.Hapana jamani huu ni umwinyi usiokubalika.
nimesoma chuo na waeritrea na wahabebeshi toka kabila moja la watigray, wako freshi tuu sikuona dharau zozote mie. wengine walikuwa ni amharas na wolayta.Acha kuita binadamu shetani wakati anauwezo wa kuomba msahama
Vita ya mda mrefu na Ethiopia.wanaume wengi walipoteza maishaHii ya wanawake kufika mala mbili idadi ya wa wanaume ilitokana na nini?
Upo sahihi kabisa mkuu,mleta mada ange google angepata jibu in a minute, tatizo siku hizi JF ni kama vile kuna mashindano ya kuanzisha Thread,ndio maana vithread kama hivi vya kuuliza viswali vya darasa la pili vimejaa sana humu JF siku hizi.
Sio mbaya kuuliza kakaAisee,kama kuna mtu ambae hawaelewi WaTZ ni mimi.Hivi tuna matatizo gani hasa.Mtu unajua kutumia internet,kwa nini usijisomee mwenyewe?Hivi kinachokushinda ku-google "Eritrea" ukapata taarifa zote unzohitaji ni nini hasa?Ni uvivu au ni nini.I don't understand.Hivi mtu asumbuke kukufanyia kitu ambacho you can do on your own kweli.Hapana jamani huu ni umwinyi usiokubalika.