jamaa mjinga sana utaoaje hao watuNakumbuka mtoto wa Odinga, Marehemu Fidel alimuacha mkewe mkikuyu na kuibuka na Mu-Eritrea.
jamaa mjinga sana utaoaje hao watuNakumbuka mtoto wa Odinga, Marehemu Fidel alimuacha mkewe mkikuyu na kuibuka na Mu-Eritrea.
Habari wakuu, poleni na mihangaiko ya maisha.
Naomba kufahamishwa kuhusu nchi ya Eritrea. Kwa anayeifahamu naomba anisaidie.
Asanteni.
Tatizo Bando Mkuu, usilaumu sana...Aisee,kama kuna mtu ambae hawaelewi WaTZ ni mimi.Hivi tuna matatizo gani hasa.Mtu unajua kutumia internet,kwa nini usijisomee mwenyewe?Hivi kinachokushinda ku-google "Eritrea" ukapata taarifa zote unzohitaji ni nini hasa?Ni uvivu au ni nini.I don't understand.Hivi mtu asumbuke kukufanyia kitu ambacho you can do on your own kweli.Hapana jamani huu ni umwinyi usiokubalika.
Acha kuita binadamu shetani wakati anauwezo wa kuomba msahamawameibania Ethiopia hadi bahari. Ethiopia haina bandari wanategemea bandari ya Djibouti. Sasa hivi wamewauzia Qatari Governent Bandari imefanya Ethiopia na Qatar hawana mahusiano ya kidiplomasia.
Hii jamii ya hawa watu ni mashetani Ethiopian Eritrean Somalis yani Semitica na Cushitics wanajiona superior sana na dharau sana
mkuu hivi unawafaham hawa watu? Landa kwa wenyewe kwa wenyewe. Au wewe mmoja wao? Usiende mbali tu wa Tutsi!Acha kuita binadamu shetani wakati anauwezo wa kuomba msahama
inapatikana kwenye kozi ya histor chuo kikuu inaongelea origin ya watu wa east africa ambapo wamegawanyika katika makundi haya 1.cushites,2.nilotes 3.bantu 4.*bushmen(hunters)Samahani mkuu watu wa cushitic ni watu wa aina gani.
Ok asante na inakadiliwa kuna idadi ndogo million 6 tuno si cushitic Eritrea ni asili ya semitics. Cushitics ni Somalis, Oromo, Borana,Tutsi na Mbulu/Iraqw n.k
Waeritrea wanaongea Tigrigna a semitic language. Wanamakabila tisa lakini Tigray ndio kubwa.
Mleta mada kama umepsta mchumba achana naye. Hiyo jamii si watu ni waovu
mkuu wa Meru ni Bantus. There are two groups of Bantus. Eastern Bantus na Western Bantus. Wote walisafiri panoja kutoka Central/Western Africa Congo/camroun wakagawanyika njiani.inapatikana kwenye kozi ya histor chuo kikuu inaongelea origin ya watu wa east africa ambapo wamegawanyika katika makundi haya 1.cushites,2.nilotes 3.bantu 4.*bushmen(hunters)
Nilotes ,Cushites,bantu ni wahamiaji wa east Afrika kutokea maeneo mbalimbali ya Africa/Asia,isipokua Bushmen(hunters) inasemekana hawa ndio walikua wa *kwanza kufika East Afrika wakitokea maeneo ya kusini mwa afrika.*
Talking about Cushitic people wamehamia east Africa kupitia Ethiopia,Somalia,Kenya,North Of Tanzania mpk north east Tz sifa kuu ya kimuonekano ya Cushitic people ni wana nywele laini na ndefu,wembamba warefu,pua nyembamba na ndefu...refer to waethiopia,waeritrea,wasomali,Wameru/mburu,wambugu(wanapatikana lushoto.
Mengine nimesahau coz nimesoma kitambo sana nilipokua nafanya my festi digrii...hope umepata mwanga.
Thenk u kwa masahihisho...mkuu wa Meru ni Bantus. There are two groups of Bantus. Eastern Bantus na Western Bantus. Wote walisafiri panoja kutoka Central/Western Africa Congo/camroun wakagawanyika njiani.
Eastern Bantus ni Chagga Kikuyu, Taita, Pare, Mijikenda Kamba, Meru, Digo, wasambaa warangi( wengi udhan cushites) n.k.
Western Bantus ni Wakurya wahaya baganda sukuma waluhya waankore wanyoro wanyamwez gogo wanyaturu(japp watu udhan wanyaturu ni cushites they are bantus) n.k.
Nilotes wako 3 groups. Nitaendelea

thanx my broThenk u kwa masahihisho...![]()
![]()
![]()
sorry bro ila nawajuaAcha kuita binadamu shetani wakati anauwezo wa kuomba msahama
Aisee,kama kuna mtu ambae hawaelewi WaTZ ni mimi.Hivi tuna matatizo gani hasa.Mtu unajua kutumia internet,kwa nini usijisomee mwenyewe?Hivi kinachokushinda ku-google "Eritrea" ukapata taarifa zote unzohitaji ni nini hasa?Ni uvivu au ni nini.I don't understand.Hivi mtu asumbuke kukufanyia kitu ambacho you can do on your own kweli.Hapana jamani huu ni umwinyi usiokubalika.
mkuu huko vizuri kwenye History. Asante kwa darasa kwenye ile posti ya Jarawa. Uliwazungumzia watu fiji kwa ufasaha sana nikajifunza mengi sana sikujua kuhusu FijiansMkuu imhotep umenifanya niwasome hawa watu vizuri kabisa,tunayo sababu ya kujivunia uafrika wetu.hawa watu safi sana.
Poa mkuu.mkuu huko vizuri kwenye History. Asante kwa darasa kwenye ile posti ya Jarawa. Uliwazungumzia watu fiji kwa ufasaha sana nikajifunza mengi sana sikujua kuhusu Fijians
Kumuita binaadamu mwenzako shetani ni udhalimu.. Ndio maana wazungu wanatuita masokwe coz sisi wenyewe tunabaguanamkuu hivi unawafaham hawa watu? Landa kwa wenyewe kwa wenyewe. Au wewe mmoja wao? Usiende mbali tu wa Tutsi!
Wee jamaa una utani duh Jokate hafu hafikii ?Naskia serikali inawaomba wanaume waoe angalau wanawake wawiliwawili...halafu ni wazuri balaa. Tuseme kama vile wewe uombwe kumuoa Jokate na Lulu labda kwa mfano..japo hawajafkia hata nusu
Kipi kilichokufanya ujiunge na JF, wakati kuna GOOGLE UNAWEZA KUPATA KILA UNACHOKIHITAJI ............????Aisee,kama kuna mtu ambae hawaelewi WaTZ ni mimi.Hivi tuna matatizo gani hasa.Mtu unajua kutumia internet,kwa nini usijisomee mwenyewe?Hivi kinachokushinda ku-google "Eritrea" ukapata taarifa zote unzohitaji ni nini hasa?Ni uvivu au ni nini.I don't understand.Hivi mtu asumbuke kukufanyia kitu ambacho you can do on your own kweli.Hapana jamani huu ni umwinyi usiokubalika.
Hata wenyewe wanabaguana ndio maana Germans walijiita Aryan yaani super rest race kuliko wengine kama wayahudi, au wazungu wa Scandinavia na wengine sema wenyewe wanaustaatabu baina yaoKumuita binaadamu mwenzako shetani ni udhalimu.. Ndio maana wazungu wanatuita masokwe coz sisi wenyewe tunabaguana
Hayo mambo hayafai,usihalalishe.kubaguana sisi waafrika hakufai,hata kubaguana sisi watanzania hakufai.Hata wenyewe wanabaguana ndio maana Germans walijiita Aryan yaani super rest race kuliko wengine kama wayahudi, au wazungu wa Scandinavia na wengine sema wenyewe wanaustaatabu baina yao