Nahitaji kufahamishwa kuhusu Eritrea

Nahitaji kufahamishwa kuhusu Eritrea

mr altitude

Member
Joined
Jul 23, 2016
Posts
96
Reaction score
59
Habari wakuu, poleni na mihangaiko ya maisha.

Naomba kufahamishwa kuhusu nchi ya Eritrea. Kwa anayeifahamu naomba anisaidie.

Asanteni.
 
Ni moja ya nchi iliyo katika pembe ya Africa na watu wake ni asili ya cushitic
 
1478889399274.jpg
 
Naskia serikali inawaomba wanaume waoe angalau wanawake wawiliwawili...halafu ni wazuri balaa. Tuseme kama vile wewe uombwe kumuoa Jokate na Lulu labda kwa mfano..japo hawajafkia hata nusu
hapo sawa unaoa kabuli na jeneza
 
Habari wakuu, poleni na mihangaiko ya maisha.

Naomba kufahamishwa kuhusu nchi ya Eritrea. Kwa anayeifahamu naomba anisaidie.

Asanteni.

Mzee uko serious kweli unasubiri jibu la hilo swali??..dah hii hatari
 
Hii ya wanawake kufika mala mbili idadi ya wa wanaume ilitokana na nini?
 
Ni moja ya nchi iliyo katika pembe ya Africa na watu wake ni asili ya cushitic
no si cushitic Eritrea ni asili ya semitics. Cushitics ni Somalis, Oromo, Borana,Tutsi na Mbulu/Iraqw n.k

Waeritrea wanaongea Tigrigna a semitic language. Wanamakabila tisa lakini Tigray ndio kubwa.

Mleta mada kama umepsta mchumba achana naye. Hiyo jamii si watu ni waovu
 
Hii ya wanawake kufika mala mbili idadi ya wa wanaume ilitokana na nini?
Eritrea ilipigana vita na Ethiopia, wanaume wengi sana walifia vitani, ndo maana ratio ikawa hivyo, kama ilivyokuwaga Urusi, baada ya vita kuu ya pili ya dunia...
 
Eritrea ilipigana vita na Ethiopia, wanaume wengi sana walifia vitani, ndo maana ratio ikawa hivyo, kama ilivyokuwaga Urusi, baada ya vita kuu ya pili ya dunia...
wameibania Ethiopia hadi bahari. Ethiopia haina bandari wanategemea bandari ya Djibouti. Sasa hivi wamewauzia Qatari Governent Bandari imefanya Ethiopia na Qatar hawana mahusiano ya kidiplomasia.

Hii jamii ya hawa watu ni mashetani Ethiopian Eritrean Somalis yani Semitica na Cushitics wanajiona superior sana na dharau sana
 
Back
Top Bottom