Nahitaji Kuazima AMPLIFIER kwa muda

Amanitwin

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,376
Reaction score
1,650
Wakuu mambo vipi.
Nipo Dar, Kuna Speakers (Passive Speakers) naziagiza kutoka Amazon, so nahitaji kuzitest zitakapofika na ili kufanya hivyo ninahitaji Amplifier.

Amp ni kwa ajili tu ya kutest speakers kama kwa siku 2 hivi.

Sasa Nahitaji mtu anayeweza kuniazima Amp kama kwa hizo siku 2 hivi (Bei ya kuazimana na utaratibu mzima tutaelewana).

Anyone?
 
Naona kimya... Ina maana wabongo hatuna amplifier kabisa?
 
Specs za spika yako hujaweka

Ni spika mbili za watts ngap ngap na impedance yake inasoma ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…