Nahitaji kuanzisha duka la vifaa vya fundi cherehani, wenye uzoefu

ndanda masasi

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
772
1,177
Uzoefu wenu unahitaji upatikanaji wa vitambaa, zipu, nyuzi na vitu kama hivyo. Pia spear za bicycles upatikanaji na bei zake.

Tafadhali msaada waugwana
 
Back
Top Bottom