Kuna page Instagram nimekuwa nikivutiwa na viatu vyao lakini nikitaka kutoa order wanasema wanauza jumla na sio rejareja.
Mwenye uelewa anisaidie jinsi naweza kununua pairs chache kwa ajili ya matumizi binafsi siyo biashara.
Ahsante.
View attachment 2647406View attachment 2647407