Ninawezaje kujua kama gharama nilizopewa na Clearing agent za Port Charges, Warfage na Shipping line ni sahihi au zimekuzwa? Mfano mtu ameagiza Suzuri Carry, gharama tajwa hapo juu zitakuwaje?.(Nadhani huwa katika Usd)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.