Nunua tool box yenye kuweza kufungua nati za hiyo router.
Tafuta waya mfupi atleast 10cm wowote ila preferably ukipata forceps itapendeza maana itakuwia rahisi zaidi.
Ukishaweza kumudu kupata hivo vifaaa nambie nkupe maelezo zaidi!