Nahitaji ku-import powertillers aina ya kubot

Nahitaji ku-import powertillers aina ya kubot

Mimi nilitaka kuagiza ambazo ni used nimepata shida kupata kutoka Japan.nikatumia mtanzania ambae ameenda Japan akasema kwa Sasa Japan makampuni mengi yanayohusika na agricultural tools wanafanyia kazi nyumbani. Na mitandao mingi na Japan mpaka beforward wameacha kuadvertise power tiller wanaweka tractor.kwanza zilikosa soko pili wachina hapo kati walikuja na power tiller zao mpya za bei rahisi.
 
Mimi nilitaka kuagiza ambazo ni used nimepata shida kupata kutoka Japan.nikatumia mtanzania ambae ameenda Japan akasema kwa Sasa Japan makampuni mengi yanayohusika na agricultural tools wanafanyia kazi nyumbani.na mitandao mingi na Japan mpaka beforward wameacha kuadvertise power tiller wanaweka tractor.kwanza zilikosa soko pili wachina hapo kati walikuja na power tiller zao mpya za bei rahisi.
Kwa hiyo power tiller mpaka sasa bado hujapata? na kama umepata ni njia gani uliyotumia kupata power tiller?
 
Mimi nilitaka kuagiza ambazo ni used nimepata shida kupata kutoka Japan.nikatumia mtanzania ambae ameenda Japan akasema kwa Sasa Japan makampuni mengi yanayohusika na agricultural tools wanafanyia kazi nyumbani.na mitandao mingi na Japan mpaka beforward wameacha kuadvertise power tiller wanaweka tractor.kwanza zilikosa soko pili wachina hapo kati walikuja na power tiller zao mpya za bei rahisi.
Hivi hizi wanazouza hapa bongo za kubota original japan wanaimport kutoka nchi gani
 
Kuna powertiller nyingine zatoka Thailand, jaribu kuulizia maana nazo ni bora sana.
 
Nilisikia machine za kilimo hazitozwi kodi wakati wa kuimport
Au kuna exemption kama ni za biashara?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom